Usalama waimarishwa kaunti ya Nakuru huku mtihani wa kitaifa wa kidato cha nne ukiendelea
Kaunti kamishna wa Nakuru, Loyford Kibaara amesema kuwa usalama umeimarishwa katika sehemu ambazo zimekumbwa na utovu wa usalama ili kuhakikisha kuwa watahiniwa wanafanya mtihani wa kitaifa wa kidato cha nne
Read on