Baraza la magavana laitisha usahihishaji wa sahihi za mchakato wa ripoti ya BBI.
Mwenyekiti wa Baraza la magavana nchini Wycliffe Oparanya ameitaka tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC kuharakisha mchakato wa kuhakikisha usahihi wa saini zilizowasilishwa mbele yake ili kufanikisha kufanyika
Read on