Watu wawili wavamiwa na fisi Keiyo Kaskazini
Mama mmoja wa umri wa makamo alinusurika kifo baada ya kuvamiwa na fisi katika eneo la Rimoi katika kaunti ndogo ya Keiyo Kaskazini. Mama huyo, Hellen Chepsergon, ambaye anaendelea kuuguza majeraha
Read on