Makali ya bei ya bidhaa muhimu yaanza kushuka
Watumiaji bidhaa muhimu waanza kupata nafuu kufuatia kuteremka kwa bei za bidhaa muhimu. Uchunguzi uliofanywa na shirika la habari la KNA mjini Kakamega umedhiirisha baadhi ya bidhaa kushuka bei zikiweko mafuta ya kupikia, mchele
Read on