Jamii za wafugaji wahimizwa kuasi mila potovu
Wakazi katika Kaunti ya Pokot Magharibi wanazidi kuhimizwa kuasi mila potovu ya ukeketaji na kuwaoza wanao wasichana mapema na badala yake kuwaelimisha kwa manufaa ya baadaye. Shirika la Kyle Gabriel Foundation
Read on