Wakaazi wa Transmara waombwa kuwaheshimu wahudumu wa afya
Gavana wa kaunti ya Narok, Patrick Ole Ntutu amewaonya wakaazi wa gatuzi dogo la Transmara Magharibi dhidi ya kushambulia, kuzuia au kutekeleza aina yoyote ya ghasia kwa mtumishi wa umma
Read on