Wito umetolewa kwa vijana kuepukana na uchochezi
Vijana katika kaunti ndogo ya Marakwet Magharibi wamehimizwa kupuuza wanasiasa wanaoeneza siasa za chuki na matusi ambazo zinaweza kuleta machafuko. Naibu kamishna Marakwet Magharibi Bw . Mathias Chishambo alitoa ushauri huo
Read on