Wakaazi waiomba serikali kuwaletea gari la zima moto
Wakaazi wa eneo la Kamwaura, Kuresoi Kaskazini sasa wanaitaka serikali ya kaunti kuwajibika na kuwapa gari la zima moto. Hii ni baada ya juhudi za kuokoa mali wakati moto unapozuka eneo hilo
Read on