Wakaazi waomba suluhu mwafaka kwa shida ya mafuriko
Wakaazi wa eneo la Kamwaura katika gatuzi dogo la Molo wameiomba serikali kuwasaidia kupata suluhu mwafaka katika barabara ya Njoro-Molo ambapo kumekuwa kukishuhudiwa mafuriko kila wakati mvua inaponyesha. Semi zao zimesikika
Read on