Vyuo vya ufundi vyaonywa dhidi ya kufundisha kozi zisizofaa
Katibu mkuu wa idara ya Leba na Maendeleo ya Taaluma Geoffrey Kaituko ameonya vyuo vya kiufundi dhidi ya kufundisha kozi ambazo haziambatani na malengo ya kuwapa vijana ujuzi wa kujikimu
Read on