Ingwe kuwavaa Nzoia ugani Sudi Jumapili hii
Magwiji wa soka kanda ya magharibi watatifua kivumbi Jumapili hii ugani Sudi Bungoma kuanzia mida ya tisa alasiri. Mtanange huo utawakutanisha wasaga sukari wa Nzoia dhidi ya AFC Leopard ukipenda chui
Read on