Bunduki haramu 30 zatwaliwa na serikali
Serikali imefanikiwa kutwaa zaidi ya bunduki haramu thelathini zilizokuwa zinamilikiwa na raia katika sehemu ya Marsabit ya Kati, jimboni Marsabit. Naibu Kamishna wa sehemu hiyo, Patrick Muriira alisema kuwa silaha hizo
Read on