Waislamu wanaiomba serikali kufungua misikiti wakati wa Mwezi wa Ramadhan
Viongozi wa Kiislamu katika kaunti ya Mombasa wameiomba serikali kuruhusu kufunguliwa kwa misikiti wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhan unaoanza wiki ijayo. Viongozi hao wakiwemo maimamu na wabunge pia wameisihi serikali
Read on