Hofu ya kuzuka kwa ugonjwa wa kipindupindu Mlima Elgon
Huenda wakaazi wa Cheptais katika eneo bunge la Mlima Elgon wakapata maradhi ya kipindupindu kutokana na ukosefu wa maji safi katika eneo hilo. Kulingana na msimamizi mkuu wa maabara katika kituo
Read on