Wataalam wasisitiza utumiaji wa vyakula vya Asili

Bungoma ni kaunti yenye ukwasi mkubwa wa kuwa na udongo wenye rutuba inayostawisha mimea kama wimbi,mahindi,viazi,njugu,maharagwe na miwa . Vyakula hivi ni lishe nzuri lakini vimeanza kutoweka kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo mabadiliko ya hali ya anga,teknolojia na vijana kususia kilimo na kuhamia mijini kutafuta ajira jambo linalosababisha vyakula hivi kuwa nadra kupatikana. Watu wanaoishi […]

Continue Reading