Washukiwa 2 wa ulaghai wasalia korokoroni

Wakurugenzi wawili wa kampuni ya Ken Match East Africa (KMEA) wamezuiliwa korokoroni kwa muda wa siku 10 ili kuruhusu Idara ya Upelelezi kukamilisha uchunguzi dhidi ya madai ya ulaghai wa sukari yenye thamani ya shilingi milioni 16.7. Jaydeep Rajesh Thanki na Mayur Kumar wanaokabiliwa na shtaka la kupokea mali kupitia kwa njia ya udanganyifu walikamatwa […]

Continue Reading